Nahitaji mchumba kutoka Zanzibar

Nahitaji mchumba kutoka Zanzibar

Hassmak

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
80
Reaction score
2
Nimekaa alone siku nyingi sana sasa nahitaji mwenza upweke umenichosha.
 
mbona nasikia zenji kuna kuna kashfa ya kabang?

nani anajua ukweli huko aisee?

shake well before use iko prohibited sana, ndo maana wabebez wanatoa kabang ili kulinda ubikrare! is it true?
 
mbona nasikia zenji kuna kuna kashfa ya kabang?

nani anajua ukweli huko aisee?

shake well before use iko prohibited sana, ndo maana wabebez wanatoa kabang ili kulinda ubikrare! is it true?

Uzushi mtupu mnapenda tu kutuchafua hamna lolote...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hassmak huko zenji kweli hujaona totoz uso kwa uso?

Subir nkuitie shosti Zinduna mchumba huyu lol sijui wa darajani au mwanakwerekwe lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Rizki hii... ngoja niwaite wadogo zangu waje!
 
mkuu tembelea mitaa ya kwahani, mwembeladu, kikwajuni, miembeni na kiembe samaki huko wapo wa mafungu utachagua
 
mbona nasikia zenji kuna kuna kashfa ya kabang?

nani anajua ukweli huko aisee?

shake well before use iko prohibited sana, ndo maana wabebez wanatoa kabang ili kulinda ubikrare! is it true?
Sio kweli Excel,na wengi wanakua na fikra hiyo kama wako wanaofanya basi sio wote,sema tena wakifanya wengine sawa wakifanya wa Zanzibari inakua mwao.....
 
Aisee siipendi Zanzibar sijui kwaniniii
 
mhh una damu ya kizanzibar lkn au unajipakazia tu hupati mke zanzibar broo Labda wazanzibara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom