lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 805
Mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu miaka 28 elimu yangu diploma nimeajiliwa, ninahitaji msichana mwenye elimu kuanzia diploma kuendelea awe anaishi Dar.
Awe ameajiliwa au kujiajili umri ilimradi asinipite anaweza kuwa miaka 27 kushuka chini awe muslim, sina mtoto wala sijawahi kuoa na msichana awe hana mtoto ndo tuanze maisha, kama na ww unatafuta mwenza ni pm tuongee vizuri.