Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Natafuta Mchumba Wa Kike, Awe Na Umri Usiozidi Miaka 26, Awe Anajitambua Na Mkweli.

WASIFU WANGU
Nina Miaka 26, Mkristo, Mweusi Na Handsome Inshort Najikubali, Nampenda Mungu, Ni Muajiriwa Serikalini Na Zaidi Kuliko Yote Nimeokoka.

NAITAJI MTU ANAEJITAMBUA KAMA MIMI NA MWENYE KUPENDA MAENDELEO. ALIE TAYARI ANI PM, NA WASIFU WAKE.
 
Kwa kiswahili ulicho tumia sina uhakika kama kweli umeajiriwa serikali!! Lakini anyway ngoja waje wataalamu wa lugha!!
 
kwa kiswahili ulicho tumia sina uhakika kama kweli umeajiriwa serikali!! Lakini anyway ngoja waje wataalamu wa lugha!!

kumbe kuna kiswahili cha mwajiriwa, ha ha stop these childish sentiments and i will never applause u for such low thinking capacity, think big there is no correlation between language and job, i may speak broken swahili but still i work somewhere as goverment official
 
Kwan huko ulko ajriwa hauwaon wateja hata mmoja wa kumtupia vocal?????
 
nawapenda wachumba ila mimi sitaki haya makanisa ya kisasa haya labda kama uta slim
 
umeokokea wapi kwa gwajima, mama Rwaka, mwingira, kwa luse,kakobe etc

MIMI Nimeokoka, Hao Ulowataja Ni Watumish Wa Mungu Na Nawaheshimu, Nasali Kanisani Haijalish Ni Wapi Ila Kanisan Na Nimeokoka Sawasawa Na Warumi 10,9
 
ukifanikia hata usiponioa nitakua nimekutoa mikononi mwa wanyanganyi

DAMNNNNNN ITS FURAHIIIIIIDAAAAAYYYYYYYYYYYYY
 
wadada jamaa katoa ofa kwa mara ya mwisho changamkia tenda haraka
 
sometimes hatupendi wanaume wapole. badili ID uje kivingne.
 
Back
Top Bottom