Nipo serious jaman naomba wenye sifa mjitokeze.
Hbr zenu wadau? Napenda kujitokeza kwa mara ya kwanza ktk kona hii.
Mimi ni kijana wa miaka 32, elimu yangu ni degree, kaz yangu ni afisa mtendaji kata, din yangu ni mkrito. Natafuta msichana au mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa mwenye sifa zifuatazo; 1. Awe na umri kati ya 22 na 32. 2. Awe na elimu angalau ya serikali. 3. Awe tayari kupima vvu. 4. Awe mkarimu, 5.mcheshi
6.mwemye upendo wa dhati.
7.mwaminifu. Naomba kwa aliyetayari anipm.
Elimu ya serikali ndio nasikia leo