Nahitaji mchumba wa kike!

Nahitaji mchumba wa kike!

avec vous

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
461
Reaction score
136
Wakuu kama heading ilivyojieleza hapo juu!Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nahitaji mchumba awe na umri wowote ule ili mradi awe yuko tayari kuishi kindoa.
Kwa mambo mengine tutaelezana pm kwa atakae kuwa interested.
 
Back
Top Bottom