Seriously!!

Seriously!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,510
Reaction score
28,223
Natafuta rafiki wa kike.

1. Awe open minded

2. Mwenye hofu ya Mungu/ Mcha Mungu

3.Umri miaka 20 kuendelea

4. Awe anajiheshimu binafsi

Kwa aliye tiyari tuwasiliane PM.

Karibu sana,.
 
Natafuta rafiki wa kike.

1. Awe open minded

2. Mwenye hofu ya Mungu/ Mcha Mungu

3.Umri miaka 20 kuendelea

4. Awe anajiheshimu binafsi

Kwa aliye tiyari tuwasiliane PM.

Karibu sana,.

uliyekuwa naye kageuka mwanaume?
 
Urafiki tu wa kawaida au nakuwa probation nikiqualify status inachange?
 
Vigezo simple kweli....sijui nijaribu bahati...???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom