mim nina miaka 24,nina ishi dar,ni mrefu kias,pia nimjasiriamali,natafuta msichana mwenye umr kuanzia miaka 18-25 awe ana ishi dar'.Tafadhal ni PM tupeane contact
hi wapendwa, mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24. Nimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka 2013 chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). sasa nimefanikiwa kupata kazi NSSF Dodoma kama assistant...
HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI NAHITAJI MWANAMKE MSTAARABU TUWE TUNAKUTANA NAE FARAGHA SIKU ZA JMOSI MCHANA TU.KWA ALIYE TAYARI KARIBU.KAMA HUHUSIKI PITA KIMYA.SHUKRAAAAAN:A S wink:
Nimerudi toka shule nilikokuwa nafanya PhD yangu. Nimeamua kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu. Napenda awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 35. Kabila lolote. Rangi yoyote. Dini mkristo na...
Nashukuru baada ya kuweka tangazo kwa mara ya mwisho wamejitokeza wengi. Na nimefanikiwa kumpata mtu wa interest yangu mpaka sasa tunafanya mawasiliano kwa mara nyingine nitaonekana hapa jukwaani...
jaman wana jf mm ni kijana wa miaka 24 n mwanafunz wa chuo flan mbeya nahitaj sana kuwa na mchumba lkn nimekuwa muoga sana kutongoza nahisi kama ntaonekana nadanganya
Habari zenu wandugu, natumai mko salama.
Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo...
Jama mimi nahitaji gf ambaye atanifaa kindoa na kimaisha ndani na nje mwanzo na mwisho juu na chini shida na raha napatikana zanzibar namba yangu ni 0774368196
Baada ya kuvumilia na kua na subira, natangaza rasmi kutafuta msichana atakae kua ubavu wangu wa maisha.
Sifa
Dini: mkristo
Umri: miaka 20-28
Tabia: upendo & mvumilivu
Umbo: la wastani...
I'm energetic man aged 32 yrs wth average body type,degree holder,employed & lives in Dsm. I'm single wth no kid but I deserve 2 be a lovely Dady who is able 2 take care 4 a family wth presence of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.