Miss ruvuma 2010 Zenah Juma anatafuta mchumba

Miss ruvuma 2010 Zenah Juma anatafuta mchumba

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
attachment.php



MTOTO ni sexy na yuko hot kinyama na anatishia amani kwa uzuri baanaa asikwambia mtu. Hiki kitu kinakwenda kwa jina la Zenah Juma, ni bonge la toto lililowahi kushiriki kuwania taji la Miss Ruvuma 2010, hajaenda age hata kidogo coz ana miaka 20 tu.
Hiki kifaa kinatisha coz ni bonge la msanii wa muziki wa Dansi, kazi zake za muziki mara nyingi anafanyia huko Oman so hela ndogo ndogo hazimpigi chenga. In short, huyu mtoto anatafuta mchumba wa kumuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, hahitaji Serengeti boy wala Mariooo, kwa maelezo hayo, nafasi hiyo anaitoa kwa mwanaume mwenye uwezo wa kumrekebisha katika suala zima la sita kwa sita, awe na akili timamu na anayejua thamani ya mwanamke bila kusahahu kazi ya maana mkali na anapenda watu, so kuhusu elimu, hachagui ila ukubali kupima kabla ya mpango mzima kufanyika pale kati.

Ebwana eeh! Hadi hapo utakuwa umeelewa vya kutosha so cheki naye kupitia 0654 762680.

Naona watu wananitumia PM mara ooh mambo gani hayo jamani mie nawakilisha tuu SOURCE HII HAPA\

IMG_3803.jpg IMG_3807.jpg
 

Attachments

  • IMG_3808.jpg
    IMG_3808.jpg
    51.7 KB · Views: 981
mfunyukuzi kwa kufunyukua hujambo! itabidi wakulipe hela ya udalali kwa kazi unayofanya.
 
Nilijua tu huu uzi ni wa Mfunyukuzi

Nitake radhi dadangu nakuana dunia ya leo ni ya utandawazi kama wewe unavyoweza kukutana na mtu faceboo, bar, kanisani, kwenye cinema n.k ndivyo hata dada huyu amaeamua kutafuta mchumba through mitandao which is not bad kwa hiyo kusema huu upuuzi ni Mfuny... ni kosa nitake radhi tafadhali
 
Anayejitangaza kwa kawaida ni matatizo matupu. Mimi nafahamu kuwa "Chema chajiuza kibaya chajitembeza".
 
mambo vipi mfunyukuzi, huyu binti mbona sioni kama amebeba sifa zote ulizozitaja!Anyway, beautfullness is on the eyes of the beholder!nataka kujua alishinda taji la Miss Ruvuma 2010?
 
mambo vipi mfunyukuzi, huyu binti mbona sioni kama amebeba sifa zote ulizozitaja!Anyway, beautfullness is on the eyes of the beholder!nataka kujua alishinda taji la Miss Ruvuma 2010?

ndio mkuu si unamona mwenye alivyosimama
 
naona anapitisha mikorogo haya dada goodd luck kina Finest wako hapa
 
Mfunyukuzi

Itakuwa ngumu sana huyu binti kupata mchumba!

Najaribu kulinganisha miaka zaidi ya 15 iliyopita nilipokuwa natafuta mchumba, nisingeweza kugeuka kama ningekutana na huyu binti!
 
Shori mwenyewe kumbe ni wale wanaoenda kunengua Uarabuni?
 
Kwa kukaa kwake uchi na minyororo mguuni, atatafute ma-rapa.
 
Kwa kukaa kwake uchi na minyororo mguuni, namshauri atafuta rapa au aende maisha club na sehemu kama hizo.
 
Duh nilitaka kutapika khaaaaaaaaaaaa mmmmh puuuuuuuuuuuuu
 
Hivi mfaukunyuzi wewe ni paparazi? mh! nahisi iko siku naeza kuta pcha zangu huku!
 
nashindwa hata kumwambia good lucky maana naona yeye kupata "mchumba wa maana ya mchumba " itamuhitaji afanye marekebisho sio kidogo bali makubwa.
 
loh!sitaki kuamini kama huyu ndio mzuri kuliko wangoni wote wa ruvuma....................hana mvuto kabisaaa!
 
Back
Top Bottom