Mwanamke anavyotafutwa hapa

Mwanamke anavyotafutwa hapa

Newtongift

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
93
Reaction score
5
Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm
 
Kwa nini?
nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,!
 
Kwa nini?
nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,!

kama una vigezo na nia mcheki mwenzio PM mmalizane mkaanzishe familia..
 
Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm

hivyo ndo vigezo vyako?kweli hizi ndoa za serenget boys ni matatizo wew umeona umemaliza kwa elimutu
 
Kwa nini?
nyie mnaotafuta wachumba jf, hampendi kujielezea vzr, ili wale wanaowataka wavutiwe na nyie,,,,!

tatizo ni wale watoto wa fb ndo wamevamia huku mtu mwenye akili na uhitaji wa kweli hawezi kua na maelezo kama haya.yani nikama vile hajui anachokitafta na yeyepia hajijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom