Niko na natafta mke,mmi ni muumini wa dini ya kibahai,natafta mchumba wa dini yyte,awe na elimu walau ya chuo(ikiwezekana ) mweupe kwani me mweusi,asiwe bonge,staweza kumbeba tukiwa bichi,awe na umri usiozidi miaka 22/23,ayatambue bayana majukumu ya mke,awe tayari kuishi Dar au Mbeya.asiwe mnyakyusa..
Mnyakyusa ananini kaka? Mbna unatutisha wanyakyusa?
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Hehehehe,,! hohohohoho, wavulana wadigital mnachekesha kweli,
kwa hiyo wewe unatafuta mchumba saa sita za usiku, mchumba wa mtoto wa nan! utampata.
mihemko ya punyeto imekushida unaona ujifariji jf.
pole sana!

we ropoka tu mjini hapa,hata wanamme wanaliwa
Heading inasema unatafuta mchumba, maelezo yanasema unatafuta mkeee, WTF
Hapa jukwaani unajingata hvyo live live itakuajee