Natafuta marafiki wa kike

Natafuta marafiki wa kike

ACHINJEMERE

Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
42
Reaction score
19
Mi ni kijana wa miaka 28 Niko dar natafuta marafiki wa kike ambao tutakua tunachat na kubadilishana mawazo.

Yule nitakae endananae tunaweza ata kua wachumba au wanandoa.

Lakin tunaanza na urafiki WA kawaida.
 
Mkuu mdomo mzito nini??
Marafiki watakurudisha nyuma, ohoo
 
Back
Top Bottom