Habari zenu wana jamvi.mm naitwa mlossy ni mwanachuo wa chuo cha kodi (ita)dsm,natafuta mchumba wa kumuoa kwani maisha ukapela yamenichosha.kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0713153696/0754953637.
Mie naitwa john natafta mke,sijali dini wala kabila wala umri.....
msichana yyte ambaye yuko tiari kua na mie anicheki kwa contact hiz...
0756763448 AU 0657035695
karibuni...........
HELLO JF
Natafuta mwanamke wa kuowa yule atakaeleta utulivu katika nafsi yangu
sifa za ninaemuhitaji ni:
1 awe mrefu kiasi si chini ya futi 5.0
2 awe na si muajiriwa
3 awe anatoka katika...
Natafuta mchumba na baadae awe mke, sifa zifuatazo;
1. Awe mrembo (Habari za uzuri tabia, mara kwenye macho ya blah blah sitaki)
2. Asiwe mpiga mizinga (Mara hela ya kusuka, mara ya vocha mara...
Habari zenu wadau,
Mimi ni Mvulana wa miaka 28, Natafuta Mchumba wa kufanya nae maisha, awe na umri kuanzia 20 - 26, kabila lolote kasolo Mzalamo, Awe mkristo mwenye kumuogopa Mungu, hata...
Natafuta mume WA kunioa tuishi milele inshaala awe muislam,,,umri uwe kuanzia 35 NA kuendelea sitojali kama unamke,,,,maisha yawe at list uwe unayamudu,,,,,awe anaishi far au sehemu yoyote sijali...
Awali ya yote namshukuru Mola muweza wa yote.
Pili naishukuru JF kwa kuanzisha jukwaa hili la LOVE CONNECT.
Bila shaka jukwaa hili limeunganisha wapenzi wengi,japo ni jukwaa ambalo baadhi ya...
Wadau Kama Title Yangu Inavyo jieleza,nahitaji Girlfriend Awe Under 22yrs Same To Me So Nahitaji Girlfriend Wa Umri Huo Ili Tuweze Kwenda Sambamba,
Mengine Zaidi Tutafahamishana Kupitia...
Natafuta mtoto mzuri anaejua namna ya ku enjoy mapenz awe na english figure,mweupe, collage au high school,christian,umri miaka 20-23 akinata na beat nikinata na beat basi ndio wife huyo....cause...
Nina miaka 37...Hawe ni mwanamke anayejitambua na anajua maana ya maisha anayejali na kutambua umuhimu wa mwenzake katika maisha.
Nina jiheshimu na ningependa Kupata mwanamke wa haina hiyo...
uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.