Natafuta material wife

ABINALA

Senior Member
Sep 20, 2013
134
55
Jamani MMU nahitaji mke mwema awe na sifa zifuatazo;bikra,elimu kuanzia form4,mkristo,mcha Mungu,mrefu kiasi,mweupe kias
 
Je na wewe una sifa za kufanana na huyo unaemtafuta... maandiko husema mke mwema hutoka kwa mungu na mungu humpa mtu yule wa kufanana nawe. usicomplicate maisha maana ndoa ni zaidi ya vyeti na hizo sifa nyingine ulizozitaja... nakushauri kuwa simple na endelea kutafuta taratibu utaona baraka za mungu kwa kuletewa mwanamke akufaae.
 
Haaa eti bikra! Wengine zilitoka kwa kuendesha baiskeli hapo unanisaidiaje
 
sasa lugha ya london huku usukumani hatujui...
unasema umepoteza nini eti make nmeona tu neno natafuta.
 
Jamani MMU nahitaji mke mwema awe na sifa zifuatazo;bikra,elimu kuanzia form4,mkristo,mcha Mungu,mrefu kiasi,mweupe kias

'material wife' au 'wife material'??? hao huyo 'material wife' si atakupasua kichwa?
 
Je na wewe una sifa za kufanana na huyo unaemtafuta... maandiko husema mke mwema hutoka kwa mungu na mungu humpa mtu yule wa kufanana nawe. usicomplicate maisha maana ndoa ni zaidi ya vyeti na hizo sifa nyingine ulizozitaja... nakushauri kuwa simple na endelea kutafuta taratibu utaona baraka za mungu kwa kuletewa mwanamke akufaae.

umenigusa sana na hii coment
 
Jamani katika lugha ya kiingereza adjective hutangulia nomino so it is material wife not wife material!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom