Natafuta mwanamke mcha Mungu wa kumuoa

Natafuta mwanamke mcha Mungu wa kumuoa

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
Mimi nikijana niliyejiajilia natafuta mwanamke aliyetayari kuishi na mimi katika shida na raha umri kuanzia miaka 18 na kuendelea awe na elimu kuanzia kidato cha nne aliye tayari anipm.
 
vp? vituguu ushauza, nakuuza, sasa unaaza kutafuta mke!!
 
yaah kk mm c mjasiliamali naitaji mwenza wa kuendeleza shughuri zangu maana kazi zmenibana shy land
 
Back
Top Bottom