Natafuta mke awe ameishia darasa la saba

Natafuta mke awe ameishia darasa la saba

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
Natafuta mke awe na sifa zifuatazo:

Awe mweupe,awe na kijungu aka msembwende aka makalio makubwa,awe anatokea mikoa kati yakilimanjaro,mwanza,lindi au mtwara,awe na Elimu angalau diploma level,awe mcha Mungu na ni mpole na apendelee kuvaa majuba na hijabu.

Mimi ni Digrii holder na nimeajiriliwa,naishi Dar es salaam.

Aliyetayari anipm.
 
Wee jamaa si dalali wa ma house girls na wanaotafuta wachumba? Au ndo mganga hajigangi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom