escrowaccount
Member
- Jan 16, 2015
- 98
- 22
Akina dada humu ndani hamjambo,Mimi ndio kwanza najiunga na hili jamvi la Jamii forums.
Natafuta girlfriand anipe kampani mwenye sifa zifuatazo:
1.Mrefu wastani, mimi urefu wangu 173cm.
2.Asiwe mnene.
3.Elimu at least Chuo.
4.Asiwe too much religious.
5.Awe anatumia pombe, ila asiwe mlevi na asiwe anavuta sigara.
6.Awe mkazi wa Dar es salaam mapenzi ya mbali siwezi.
7.Beautiful.
8.na mengineyo yanayolandana na haya.
9.age <35
Mimi nilivyo:
1. Mrefu na mweusi
2.Handsome hapana najirate 3 stars.
3.Urefu wastani na nimejazia kiasi.
4.Elimu chuo
5.Kazi kama kawa na mengineyo.
If u think u meet these standards u are warmly welcome.
Ni pm
wanaume haiwahusu, atakae comment ni shoga.