Mshika Bunduki
Member
- Jan 14, 2015
- 79
- 18
Mimi Mjasiriamali nahitaji Mke mwenye vigezo vifuatavyo:
-Mkristo na hasa awe tayari kufunga ndoa RC
-Mfanyakazi na hasa mwalimu.
- Hajawahi kuolewa au kuzaa.
-Asiwe mwembamba na sio mnene sana.
-Umri kati ya miaka 22 hadi 30.
- Urefu wa wastani.
-Uaminifu ndo mpango mzima.
Huhusiki acha,ukiona fursa Pm.
-Mkristo na hasa awe tayari kufunga ndoa RC
-Mfanyakazi na hasa mwalimu.
- Hajawahi kuolewa au kuzaa.
-Asiwe mwembamba na sio mnene sana.
-Umri kati ya miaka 22 hadi 30.
- Urefu wa wastani.
-Uaminifu ndo mpango mzima.
Huhusiki acha,ukiona fursa Pm.