Watu mnaudhi sana!! mnatafuta marafiki wa kuchat??? wenyewe hamjui kuchat! mnauliza tu:Unaitwa nan?,home kabisa wapi? umeolewa? unafanya kazi gani? unaishi na nani? yani mnakuwa na maswali kama ya polisi!! Mmh watu bhana!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.