Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kila kijana au msichana anataka mwenza anayemcha Mungu, mwaminifu, mkweli, mkarimu, anayejali na mwenye upendo wa kweli. Na hayo ni mambo muhimu ya kuyatafuta kwa mwenzi wa Maisha. Sasa cha...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
huu uzi utasaidia kujua on average msichana/kijana wa kazi kwa sasa anapaswa kulipwa bei gani kw amwezi ili kutimiza majukumu yote ya nyumba................ haya taja.....
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Jamani mimi ni kijana ambaye nimekuwa nikiishi Maisha ya usingle sasa nahitaji kua na mwenza nina umri miaka 22 nahitaji Mchumba mkweli ili baadae nimuoe awe Umri kati ya miaka 20 hadi 25...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, ninashukuru Mungu na uwepo wa JF . Ninawashukuru wote waliochangia kwenye huu uzi na wale walioonyesha interest munisamehe tu bure ikiwa nimewakwaza kwa namna moja au nyingine hapa na...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
Naitwa shack nipo Dar natafuta marafiki wa kike umri wowote sichagui dini wala kabila.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heri ya Mwaka mpya wana Jamii Forums. Ni Busara kama tutaitumia hii fursa ya kuuona mwaka 2015 ni vyema na kua na msaada kwa watu. Unaweza kuwa msaada kwa kuongea kwa Hekima au kukaa kimya. Sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Awe na kaz yake!Umr kuanzia miaka 18 na kuendelea.nko kilimanjaro!nchek whatsap 0713578805.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Anyone who is serious,determined one Tanzania lady aged 22 inneed of partner!!!! just PM and i wiil replyyy
1 Reactions
2 Replies
868 Views
Dear Members happy new year! Kwa mara nyingine napenda kuleta kwenu ombi langu la kutafuta mwanamke aliye-serious tu kuolewa. Napenda awe Mwalimu au Nurse lakini si lazima. Mimi nina...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ya weekend. Nina thamini sana marafiki,nina amini katika marafiki kwakweli. Kama unahitaji rafiki wa kuongea nae au kusaidiana katika mawazo,mambo ya kuhusu maisha,mambo ya...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Wana jamii, mimi ni mwanaume mkamilifu kabisa, nina miaka 34, nina mtoto1. najitokeza kwenu kutafuta mwanamke wa kuoa, awe mwelewa, mwenye hofu ya Mungu, awe amekua kiakili na kimwili pia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Sisi ni Kikundi cha Wavulana watatu ambao tumekuwa pamoja na tumesoma pamoja hadi hatua ya kuajiriwa Serikalini mmoja kati yetu ameajiriwa Serikali kuu na wawili tupo katika mashirika ya umma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana JF, am a young guy, age 26. Basically ni Mwandishi wa articles, Hadithi fupi, Riwaya, report na proposals. Pia nafanya Graphic designing kidogo. Am looking forward kupata Marafiki...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za xmass wana jf, Kama title inavyosema, nahitaji binti aliyetayari kuolewa anipm, awe na vigezo vifuatavyo Miaka isizidi 28 elimu isiwe chini ya form 4 kabila lolote Mwenye heshima...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Nipo Songea mjini sim no.0788557751
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike, ambaye tunaweza kwenda steji ya pili ya uchumba na Ndoa. umri kati ya 18 hadi 24, awe Muislam, Mfupi lakini si Mbilikimo Elimu yeyote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike ambaye yupo serious awe na Elimu si chini ya Kidato cha sita awe na umri wa miaka 18 hadi 23.
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Mimi ni Mhandisi,mjasiliamali naishi Dar es salaam. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Zaidi nitumie PM.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa Single kwa muda sasa. Ninahitaji binti,kwa kuanzia,rafiki,na labda kadri muda uendavyo kuingia phase nyingine ya maisha. Umri wangu miaka 30,Dini mkristo,Kabila Mu-Ikizu,Elimu yangu,Chuo...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Habari wakuu. Jinsia yangu ni mwanaume najitokeza kutafuta rafiki wa kike ili baadae tufunge ndoa.Elimu yangu ni kidato cha nne,na Umri wa miaka 27,Dini mkristo,Kazi nimejiajiri .Nimtafutae elimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom