Nataka mke

Nataka mke

Kwa dizaini hii hupati ng'oooo labda ujifunze kujielezea.
 
Nenda Ambiance na Njia ya kutokea Big bon sinza hadi kwa Kakobe mida ya usiku utakuta wake kibao ujiopolee wa kwako rafiki.
 
Kafundwe mbinu za kupata mke. Huko siko labda unafurahisha ukumbi tu
 
jamani kwani kupata mke kuna mbinu? si watu wakionana na kupendana wanaoana, mkuu akuna cha mbinu wala nini kwanza nauhakika mpaka sasa simu yako iko bize sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom