Masai Mara
Senior Member
- Dec 25, 2014
- 134
- 54
Habari za masiku.
Ni mara ya tatu narudi kwenye jukwaa kwa sababu ile ile.Nipo tayari na nimejiandaa kuwa mume bora.Nina imani humu nitampata mke bora wa maisha yangu.
Aliyetayari kuwa mke bora asisite kunipm.
Asanteni