Natafuta mwanamke 35-50

Natafuta mwanamke 35-50

Kintiku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
617
Reaction score
322
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.

Welcome.
 
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa hivi mwenye makelele anakuwaje ndugu yangu maana siwajui wa hivyo
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.

Welcome.
 
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.

Welcome.
Hakuna mwenye umri kati ya 38-45..Selma umriwako name unawatoto wangapi nje usije ukawaumetumia ujama name mwingine EDA umalize namwana Jf loh
 
alaaa kumbe sikujua thanks kwa hilo

je umeshampata huyo mwanamke?
Some ladies speak on top of their voices such that even neighbors wanajua kila kitu. Wanaume wengi wanapenda mwanamke ambaye ni soft spoken
 
Kinytiku MKUU nimeota umeshikamana nananii mnalazimishana tendo la embuu ngojaa niombee hii ndoto manake wahumuhumu jf
 
Japo siwazi hivyo, lakini waweza kuwa nabii Pdidy, hebu tafadhali fikisha huu ujumbe kwa. Mungu ana njia nyingi sana
Kinytiku MKUU nimeota umeshikamana nananii mnalazimishana tendo la embuu ngojaa niombee hii ndoto manake wahumuhumu jf
 
Embunitumie nambaya simu maana neemazinakuja na dhabihu ,,dhabihu niuchungu unatoakile roho inauma iki mungu. Asikie,,,amanikurishie tigo ,,esayangu kaka uwiwe
 
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne.

Welcome.

nenda pm kwa shansarie eleza shida yako atakusaidia,
 
JF na matani yake hayaaaa! Movie na iendelee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom