Mchumba wangu ulikuwa wapi

Mchumba wangu ulikuwa wapi

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Najua sasa una umri 22-25 sasa. Sijali kabila njoo PM. Tuongee zaidi tupange uwe mama wa watoto wangu.
 
Najua ni muda mrefu na umepitia mengi...Mimi pia nimepitia mengi mpaka sasa ni miaka 32.

Nnashukuru Mungu nna makazi..na imebaki kuanzisha familia..ungana nami tupate bar aka za mwenyezi.
 
Nakupenda sana...sitokutenda ukaenda.
 
Huwezi amini nilishakata tamaa kukuona
 
Kings daughter unataka nigombane na mfalme...
 
Mmm..pole kumbe x wako alikuwa anakupiga
 
Jamanii..kumbe kuna watu wakatili hivyo
 
Nafikiri..
Ungekimbia asingekuchoma kisu
 
Kesho ni siku muhimu kwetu..my valentine
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta

Msipiganeeee...

Kings daughter unataka nigombane na mfalme...

Mmm..pole kumbe x wako alikuwa anakupiga

Jamanii..kumbe kuna watu wakatili hivyo

Nafikiri..
Ungekimbia asingekuchoma kisu

Kesho ni siku muhimu kwetu..my valentine

Sort of mass hallucinations or extreme imaginations but sometimes it is because of missing something so dear
 
Najua ni muda mrefu na umepitia mengi...Mimi pia nimepitia mengi mpaka sasa ni miaka 32.

Nnashukuru Mungu nna makazi..na imebaki kuanzisha familia..ungana nami tupate bar aka za mwenyezi.

Mpe Diamond atengenezee music vers yakoi
 
Back
Top Bottom