Natafuta mchumba wa Muislamu

Natafuta mchumba wa Muislamu

Galileo

Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
39
Reaction score
5
Habari.
Natafuta Mdada Mchumba Muislamu, Mtu Mzima wenye Umri Chini Ya Miaka 30, Elimu Kuanzia Diploma, Awe Mwajiriwa Idara Ya Afya, Elimu, Maendeleo Ya Jamii, Mdada Yeyote Ambaye Amekidhi Kigezo Cha Elimu Lakn Hana Kazi Ila Ana Interest Za Kada Hizo, Nitampeleka Chuo.

Awe Hana Mtoto.

Awe Tayari Kupima Vvu.

Kwa Aliye Tayari, Ani Pm: Pm Yake Iwe Na Jina Kamili, Umri, Elimu Yake, Alipo, Kazi Afanyayo Na Namba Ya Simu.



Karibuni.
 
Huwez mpata mtu hapa umeweka shurti nyingi mno unaonekana una kitabia cha udictator au unajisikia sana! Andika uzi mwingine uje kivingine kabisa, huu ufute tu hutompata mTZ labda kama kuna Warundi humu!
 
Second Fiddle umenchekesha sana eti Warundi ..ha ha ..mtoa mada kuna kibibi humu faizaFoxxy ila chenyewe ni 50 something na ni mbunge wa Nkenge aka Mshama!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom