Mahusiano serious yatakayopelekea ndoa

Mahusiano serious yatakayopelekea ndoa

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
540
Habari zenu wanajamvi.

Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 25 nimepitia relationship kama tatu hivi ila sijafanikiwa kuwa na mwanamke aliyenipenda kwa dhati labda kwa vile me nimuumini wa mapenzi ya kweli na nimpole sana.

Nasema hivi kwa kuwa kila mwanamke niliekuwa nae mapenzi yalikuwa yakikolea mwanzoni lakini baadae yanapungua na kunipotezea kabisa.

Nahitaji mwanamke atakayenipenda kwa dhati. Awe anayo hofu ya Mungu, umri ni kuanzia miaka 18 mpaka 25.
Me ni mjasiriamali naishi Dar es salaam na ni mwanafunzi pia mwaka wa tatu bachelor degree.

Kama utakuwa interested na mimi ni-pm tubadilishane mawasiliano.
 
Back
Top Bottom