Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 418
- 243
Habari wana Jamii forums.
Natafuta marafiki wa jinsia yeyote. Mimi ninapenda muziki(kusikiliza), kuogelea, kusafiri, kwenda baharini, vollyball, football, movies na kuwa na furaha. Ninafanya kazi(decent). Kama utapenda kuwa rafiki please usifikirie mara mbili. Miaka yangu ni 29 kwenda 30 Mungu akipenda na ni mwanaume. Nitafurahi kusikia toka kwako. 0755 783420.
Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums