Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
Wakuu leo nimeonelea nitoe kinachonisibu moyoni. Natafuta mchumba.
Sifa:
(1) Awe ni msomi mwenye degree na kuendelea.
(2) Awe ana nia ya dhati ya kuolewa.
(3) Akiwa na kazi yake ya kuajiriwa au amejiajiri.
Asihofu kuwa ndoa yake itaathiri biashara zake au ajira yake.
(4) Awe tayari kupima.
(5) Awe tayari kuikubali historia yangu ya kuzaliwa kijijini.
(6) Awe na mapenzi ya dhati na si kutafuta umaarufu au maisha kupitia mapenzi.
(7) umri miaka 25-30 (8) Kama amekwisha zaa basi watoto wasizidi wawili.
Hizi ndo sifa za msingi anazotakiwa kuwa nazo.
Sifa zangu:
(1) Nina mtoto mmoja.
(2) umri wangu ni miaka 35.
(3) Elimu yangu ni shahada ya uzamili.
4) nimeajiriwa.
Angalizo:Erested women are encouraged to contact me.
Asanteni sana.Kama nimekukwaza naomba msamaha wa dhati.