Natafuta mke wa kuoa Mwarabu

Natafuta mke wa kuoa Mwarabu

DOKEZO

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
324
Reaction score
504
Ni kijana wa kiume,nina miaka 30,mrefu kidogo sio mfupi,nimeajiriwa nafanya kazi.natafuta mke wa kuoa awe mwarabu,umri kati ya miaka 20-27. naomba niPM kwa aiye siriaous.
 
Nimekua nikisikia wanawake jamii ya hindi na arabu huwa wanachaguliwa waume na wake toka wadogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom