Jamani natafuta mke wa kuoa mwaka huu

Jamani natafuta mke wa kuoa mwaka huu

katoko

Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
18
Reaction score
6
Habari wana Jamii forums.

Mimi ni mwanaume bado sija ajiriwa natafuta rafiki wa kike tutae saidiana kutafuta kazi na kuanza maisha ya ndoa.Atakayekuwa tayari ani Pm naishi Dar es salaam nimepanga chumba najitegemea siishi kwa wazazi.
 
Tafta ajira kwanza mkuu, maana ukimpata saiv mtaachana coz ukipata pesa ndo ukicheche wako utajionyesha.
 
Maisha yamesha kupiga sasa unatafuta mtu wa kukufariji. Anza kwa kutoka hapo kwa wazazi kwanza alafu ndio uanze kusaka mke.
 
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni
ulimwengu ni zumbukukuu aisee

maajabu kila kukicha ati huyu nae anatafuta mke
huku hana hata cha kumlisha/kumvisha huyo atakayemuoa majanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom