Huu si utani ni kweli.
Mimi ni mwanaume Kutokana na maisha ya kilokole niliyoyaishi nina miaka 24 sasa na sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote but mwanzoni mwa mwaka huu kuna binti...
Mim n mwanaume wa miaka 27,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati,mwenye elimu na dini yoyote.
pm ndio itakuwa rahisi kujaana nakupeana namba za simu.
Nipo mwanza
Habari za jukwaa ndugu na jamaa.
Poleni na majukumu ya kila siku, ila mwenzenu namtafuta aliyetayari kuishi nami kwa shida na raha.
Vigezo;
-Umri 32-35.
-Dini yeyote, tutakubaliana katika hili...
Mimi ni mtumishi serikalini.Natafuta mke umri wake usizidi miaka 33.Awe dini yeyote.Angalau awe na elimu ya certificate yoyote ile.Nina elimu ya shahada moja.Sichagui kabila.
Aliye serious anipm...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29,elimu ni chuo kikuu,ni mwembamba kiasi ni mfupi kiasi alafu ni mweusi. nimtakae awe na umri wa miaka 20-27,elimu yake awe na masters,mweupe,asiwe...
Kama wewe ni mdada/mama wa umri huo na unataka kuwa na rafiki wa kiume wa kumwamini
Sifa;
Awe na Afya njema
Awe na kipato chake kizuri
atakuwa huru kuwasiliana na mimi na kukutana kwa nafasi...
Mimi ninaishi na vvu nimetengana mke wangu baada ya kugundua kuwa mimi ni mwadhirika hali yangu ni mzuri huwezi kunitambua kwa macho na ninatumia arv kwahiyo natafuta mwenzangu anu PM awe...
Natafuta mwanamke wa kufunga naye ndoa ,sifa zake awe ni mwisalm pia anayefanya kazi za kujiajiri ama kujairiwa elimu yeyote miaka kwanzia 20 mpka 35, kabila yeyote mimi namika 35 na elimu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.