Natafuta wa kuishi nae

Natafuta wa kuishi nae

kat1

New Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
3
Reaction score
2
Mimi ni Mwanaume
Umri: Miaka 29
Elimu: Degree
Kazi: Employed
Dini: Mkristo

Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu akijaalia tutaoana. Thats why nahitaji
aliyetendwa coz naamini atakua matured in relatnship japo si lazima awe ametendwa ila awe dedicated. Kigezo kimoja tu asizidi umri 28.

Kama uko interested tuwasiliane PM

NB: Sio utani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom