Christinaa
Member
- Jul 16, 2016
- 26
- 74
Hello,
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.
Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano.
Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana.