Hebu weka umri wako kwanza
Duh umeandika kwa ukali Kweli aiseee, humo ndani kwenye nyumba kutakalika Kweli? Wanaume wenyewe wa tia maji tia maji!!!
Mgane ni mwanaume wa aina gani?mgane
vigezo kama unaenda kukopa benki
Mgane ni mwanaume wa aina gani?
Au watakuwa ni wale wa dar nini
Oohh nimekuelewa vizuri, basi kama deadline itapita na hajapatikana mtu hebu utanicheki kwa PM japo upate faraja!! Ukubwa dawa na penye wakubwa haliharibiki jambo.Duh umeandika kwa ukali Kweli aiseee, humo ndani kwenye nyumba kutakalika Kweli? Wanaume wenyewe wa tia maji tia maji!!!
Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 2927-29
Subiri sasa msg kutoka kwa mifataki iliyoacha wake zao vijijini. Watakulala halafu watoke nduki.Nimekuwa msomaji humu ila nimekuwa na ID kwa sababu hii.
Kama umefiwa na mkeo kipenzi cha roho yako akakuachia watoto wasiozidi 2 na asipungue mmoja njooo inbox najua una hitaji mwanamke wakukupenda kwa dhati na mlee watoto. Mi nna 1 na wako 2 basi tutaendeleza fimilia yetu bila hiana!
Vigezo muhimu
age 37-42
uchumi: uwezo wakujihudumia wewe na watoto ( na mimi sio tegemezi sihitaji tegemezi ili tuwe tunashare/kusaidiana)
Uwe ushamalizamaujinga ujinga yooote tujenge familia
elimu: kusoma na kuandika japo mi ni graduate
Dini: RC,Lutheran, muislam naweza copy naye haina shida uwe kweli una mcha Mungu
makazi: uwe na kwako sio unakaa kwa wazazi ama ndugu mf uwe umepanga/ umejenga.
NB: Usije inbox kama hukuwa unampenda mkeo maana utakuja huhitaji upendo wewe na huujui,
pia kama hujafiwa na mke na huna mtoto labda uwe umewahi kuumizwa sana mwenzako ameolewa naana watoto huko umekata tamaa ya mapenzi n.k.
umri wangu 27-29
Subiri sasa msg kutoka kwa mifataki iliyoacha wake zao vijijini. Watakulala halafu watoke nduki.
Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 29
Jifunze kujieleza dadaangu mtu mmoja haiwezekani awe na umri tofauti tofatuti kwa wakati mmoja. Alafu sio mgane ni MJANE.