Mrejesho: Nimepata mpenzi JF, mliohoji why on JF

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Wakuu,

Mtakumbuka hivi juzi nilipost uzi kuwa namtafuta Eva wangu. Mungu sio Juma Nature, nimepata!! Nilikuwa creative kwenye Post yangu ili nistand out, nisijumuishwe kwenye wahuni wanaotafuta tu casual dates.

Sasa kuna mapopoma walitoka povu eti why on JF, mtaani sijaona? n.k. Hawajui tulionao mtaani au huku uraiani ndio hawa hawa walioko JF, so it makes no difference. Kwahiyo mmeumbuka, Naomba mtu akisema anatafuta, muacheni apate.

Ova.
 
Hongera mkuu.

Ana muonekano mzuri huyo uliyempata?
 
kila la heri lakini hata ukija kuachwa ama kushare na wengine tunaomba utuletee mrejesho
 
Najua uliwageuza nyanya za sokoni kwa kila mmoja kutuma picha Whatsup ili uchague anayeng'aa zaidi, saida karoli anasema chambua kama karanga[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Sidhani kama utadumu na huyo mpenzi kwa mipasho kama hii..
 
Najua uliwageuza nyanya za sokoni kwa kila mmoja kutuma picha Whatsup ili uchague anayeng'aa zaidi, saida karoli anasema chambua kama karanga[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hapana mkuu. Aliyenifuata PM ni mmoja tu...na ndio huyo Mungu alikuwa kapanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom