Una mshiko? hizo sifa Mimi ninazoo
uko vzur financially cyo nakuja ooohhh ngoja..stakiKama unazo ni pm
uko vzur financially cyo nakuja ooohhh ngoja..staki
Shahada yako lazima iwe ya mwendo kasiUmri:20-26
Elimu: Shahada
Asiwe na mtoto,
Awe mkiristo
Mwembamba; maji ya kunde au mweupe. Mrefu wastani
Sifa zangu
Umri 27, elimu yangu ni shahada, maji ya kunde, mkiristo, Nina hofu ya Mungu.
Karibu mwenye sifa hizo. Ani PM.
Asante.