Natafututa mchumba wa kike 18-20 years.

Natafututa mchumba wa kike 18-20 years.

be unique

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,381
Reaction score
2,293
Mm ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba wa kuwa na malengo nae na sio wa muda mfupi 2.Kwa aliye tayar anicheck inbox.
 
Umemaliza Chuo? Unataka kuvuruga watoto wa watu wafeli form 6
 
Mademu wa sasa umuopoe bila shilingi?!!

Utachomeshwa sana mahindi.

Tutafute hela kwanza kijana mwenzagu. Nyapu zipo tu, zimeumbwa kaajili yetu.

-Kaveli-
 
Kama umeshindwa kupata mchumba mtaani kwenu utaweza humu, wanasema 'charity begins at home'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom