Onyo: Heshima izingatiwe kwa anaye 'comment' humu

Onyo: Heshima izingatiwe kwa anaye 'comment' humu

Ila Ukiwish kitu ndio kinakuwa hivyo Pole ila kumbuka siku unaweza kuja kuziwazia siku kama hizi unatamni akutongoze mtu muishi nae unakuta hamna au unapata uliowazidi kiumri sana yaani Tabu punguza hasira maana mchezo huu hauitaji hasira... Kwa umri wako unaweza ukawa na jeuri sana ya kukataa watu ila siku hazigandi unaweza kuja stuka late... Tengeneza mtu wa aina yako mapema muweze kuelewana... Mtu akikutonza sio lazima mpeane mapenzi unaweza fanya nae urafiki tu ila ukiona anakomalia penzi kwa sana achana nae kutongozwa kupo tu hakukwepeki ni wewe tu kukubali au kukataa its part of our life...
 
Back
Top Bottom