"Mke", only serious woman

"Mke", only serious woman

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
175
Heshima kwenu ndugu zangu.

Natafuta "MKE" sio mwanamke......kwa sababu wanawake wapo wengi lakini ambao wanafaa kuwa "MKE" ni wachache sana. Kuwa mwanamke haimaanishi kuwa wewe unafaa kuwa "MKE" lakini kuna wanawake ambao ni BLESSED BY GOD kuwa "MKE". Hivyo basi kama ndugu yangu moyo wako unakugusa 'from your heart' kuwa you want to be married and have your own happy family, please do not hesitate to contact me via PM.

sifa za "MKE TARAJALI" anayehitajika:-

1. Awe na nia ya dhati ya kuwa married na sio tu kwa sababu shost zake wameolewa.
2. Umri kuanzia miaka 20 hadi 30 tu.
3. Awe dini yeyote ile kikubwa ni dhamira yake
4. Muaminifu na anayejiheshimu, na kuheshimu wengine.
5.Anayejitambua
6. Elimu kuanzia kidato cha sita hadi Master degree na hata PhD bado anakaribishwa ( If you're a Master degree holder or PhD....umri hadi miaka 33 unakaribishwa).
7. If you're a single mother, not more than one kid ....unakaribishwa.

Sifa zangu.
1. Ni mwanaume but sio mwanaume wa DSM....nadhani umenielewa.
2. Najitambua
3.Mkristo wa Roman Catholic.
4. Nina maisha yangu na nayajua maisha.

Kama una lolote unataka tufahamiane zaidi karibu PM.

NB: Wanawake wanaojitambua tu na wenye nia thabiti ya kuwa na maisha mume na kujenga familia yenye furaha na sio bora familia.

ASANTENI.
 
Mi hapa nataka kuolewa kabsaa
Kikubwa je vigezo unavyo ?? maana usije ukawa unataka ndoa ili iwe tu show off kwa rafiki zako....kama ndio hivyo ujue ndoa itakushinda
 
Tunaomb pic yako tafadhal tukujue tukuoneee

Kama unachagua mchumba kwa kuangalia picha basi zunguka hapo mtaani utawaona masharobaro wengi tu ambao utachagua hadi uchoke wewe mwenyewe. Ukishindwa basi jaribu kuonana na fundi seremala ili akuchongee yule unayemhitaji wewe na moyo wako. Mimi sio wa kihivyoo unavyonifikiria. I am so sorry if my message will hurt you but najisikia amani kukujibu kuliko ningekaa kimya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom