Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nahitaji girl friend, badae aje kuwa mke, Sifa zangu 1.Handsome 2. Pombe kama kawaida ila kwa weekend 3. Sigara hapana 4.Dini Mkristo 5.Mtanashati Nimtakaye 1.Mrembo 2. Awe romantic (sitaki...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hey, Natafuta mdada mzuri yaani sura na tabia mwenye sifa za kuwa mke mwaka huu huu wa 2019. SIFA ZAKE Umri usizidi miaka 30, Mkristo, Awe mrefu kiasi, Maji ya kunde/mweupe, Ameajiriwa au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kichwa cha habari kinajieleza. Wawe na upeo wa mambo ya biashara nasiasa za kitaifa na kimataifa.Karibuni sana.
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kunipa uzima hadi leo nimekuwa mtu mzima nafikiria kuoa. Pia shukran za pekee ziende kwa wazazi wangu ambao walionyesha upendo wa dhati tangu nikiwa mdogo hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwaa Habari zenu? Mpaka nimefikia hatua hii siyo kwamba huku nilipo hakuna wanaume sababu ni kwamba mimi ni mwajiriwa wa serikali nimepelekwa ktk kijiji kimoja hapa Tanzania kiukweli...
13 Reactions
47 Replies
8K Views
Soma QT na Resittters Kituo chetu kimekuwa ni kimbilio la waliowengi kupata Elimu ya sekondari walioikosa kwa sababu mbalimbali. Ni miaka mitano sasa tunatoa huduma hii muhimu katika ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Habairi wana JF, Pasi na Shaka Mwaka ndio unaisha, na kila mtu ni wakati wa kujitathimini mafanikio, kasoro na mapungufu mbalimbali katika kutekeleza mipango aliyojiwekea mwenyewe mwanzoni mwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Namtafuta mwanamke awe rafiki wa dhati, mwishowe tufanye maisha pamoja. Awe mrembo, anajiheshimu, amesoma angalau hadi polytechnic ama college. Umri usipite 34, awe mkristo, na asiwe na mtoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikitika kuona vijana wengi wa karne hii ni shida ukiwaangalia kwenye mitandao wanaonekana wako vizuri ukikutana naye uso kwa uso mkazungumza mawili matatu unagundua ni zilo maana ya mitandao ni...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Hello wakaka na wadada… leo naweka assumption...prove me wrong Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke wale wanaokujia na 'kila la kheri' ni singletons..!!! Either,wanataka uwa...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Ndugu wanajukwaa, Habarini za usiku. Nyakati za sasa kumekuwa na changamoto kubwa kimahusiano, kwa mtizamo wangu ni kutokana na kuwa na matamanio ya kimahusiano au vitu na kuacha misingi ya asili...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitwa Saidi kobelo natafuta mchumba awe muislam awe chini ya miaka 36 aweze kuishi kijijini awe na muonekano wa kisayansi nikimtazama maraika wanamuandikia thawabu awe anashaurika awe tayari...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Closed
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
17 Reactions
241 Replies
39K Views
Mimi nikijana Nina umrii wa miaka 27 naitajia mwanmke mzr mwenye kujua mapenzi tupeana rahaaa tu umri wowote ila ajiamin tu naishi dms napia nimejaliwa bonge la naniliuu kwahiyoo ukinitafut...
0 Reactions
3 Replies
621 Views
mm nikijana wa miaka 26 natafuta mke wa kuoa -awe na miaka 20-25 -awe mkristo -rangi yeyote Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Natfta mpenz w kike wakupeana raha tu DSM Nichek kwanamba hii 0719220334
0 Reactions
4 Replies
859 Views
Nicheki pm tuyajenge hasa maswala ya namba hasa whatsapp
0 Reactions
3 Replies
980 Views
  • Closed
kiukweli nimechoka kuwa single miaka yangu ni 23 nipo mkoa wa DSM nime maliza chuo pia sjawahi kukutana na mwanaume ninayo tu.
6 Reactions
100 Replies
7K Views
Natafuta mchumba wakuoa. Vigezo. Awe chin ya miaka 24. Awe amepata O level angalau C ya mathematics Dini awe mkristo. Aliye tayari aje PM tutongea. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Vigezo Umri Kuanzia 32 Elimu at least form six Kazi:Haijalishi Umbo at least la kiafrika Urefu wa kawaida Alietayari aje PM
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom