Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
natafuta mwanamke .wa kuondoa upweke Lonely I'm so lonely I have nobody To call my own I'm so lonely, I'm Mr. Lonely I have nobody To call my own I'm so lonely
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Umri 22-30 Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta friends wa kike na kiume wenye malengo na busara na kujierewa kwanzia miaka 18-30
1 Reactions
2 Replies
745 Views
Enyi wanawake/wasichana wenye tatizo la kutofikishwa katika mapenzi au kileleni njooni Pm kwa msaada zaidi angalizo usiri katika mapenzi na kuwa mwoga kueleza tatizo ndiyo kuzidi kukuza tatizo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello naitwa wanajamvini pls natafuta mchumba ambae soon atakuwa mume awe kuanzia miaka 35 na kuendelea, awe mkristo na awe tayari kupima. Akiwa na mtoto asizidi mmoja mm Niko mbeya. Sichagui...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Aseeh kuna maswali huwa sisi wanaume tukiulizwa yanaleta utata na endapo ikitokea umejibu kijinga basi ndo unakosa kila kitu Hembu tupeane uzoefu jins ya kujibu haya maswali... 1.UMETOA WAPI...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
NATAFUTA MKE MWENYE SIFA HIZI: 1. MKRISTO SAFI ALIYEOKOKA 2.UMRI 28-40 3.KIPATO CHA KAWAIDA, HATA KAMA HANA KAZI SITASHINDWA KUMLISHA NA KUMVISHA, KIPATO CHANGU NI KAWAIDA ILA KINATOSHA KUENDESHA...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Km uko tyr kuja dm tuongee kikubwa
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana JF? Awali ya yote, nimetanguliza salamu kwenu nikiwa na matumaini kuwa mko vizuri. Katika chapisho hili, nimependa kutoa hitaji langu kwenu kuwa kupitia jukwaa hili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadada' Mimi nipo hapa JF miaka mingi saana......na nimegundua kuwa hapa ni sahihi kwa watu sahihi! Nisiandike saana mm ni mwaume wa miaka 32 sasa najitambua nafanya kazi na naendesha...
0 Reactions
7 Replies
979 Views
Mimi nina 30 umri nipo mbeya nimeajiriwa sirikalini lakini pia nimejiajiri mwenyewe. Nahitaji mke mwenye umri kuanzia 23 mpaka 27 awe mrefu wa wastani kabila lolote..dini yoyote naomba awe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam, moja kwa moja kwenye point nahitaji mwanamke mwenye umri 30 - 60 kwa ajili ya uhusiano wanawake wenye umri chini ya hapo nyie mko vizuri na mnapendeza ila kwa muktadha wa hitaji langu nyie...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Jamani kwa nini wanawake wa madereva wa malori hawatulii kuna jamaa yangu huwa anasafiri Zambia sasa siku moja alimuaga mke wake kuwa anasafiri lakini hapo nyumbani kuna mwanaume anakuja nyumbani...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
habari wadau nahitaji mwanamke wa kubadilishana nae mawazo. Awe anajitambua awe na shughuli ya kufanya ikiwa anajitegemea kimaisha itakuwa vizuri zaidi. Maelezo kuhusu mm ni vyema kama takuja pm...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mpenzi [MWANAMKE]awe na umri wowote ule kwani mapenzi ayaangalii umri wa mtu nachoitaji ni upendo wa dhati mimi umri wangu 22yrs kwa aliyetayari my contact 0621850715 ipo hewani mda wote
1 Reactions
63 Replies
4K Views
Helloo..!!naitwa Bilal ni mkazi wa Arusha,Umri wangu ni miaka 25. Natafuta mchumba kuanzia miaka 21 - 24. Sifa awe mwaminif na mwenye mapenzi ya kweli. Pia awe tayari kupima VVU. kwa aliyetayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeona kejeli na matusi vimetawala, ahsanteni na nisamehe we, labda hii hairuhusiwi Jf. JamiiForums naomba hii post ifutwe.
7 Reactions
155 Replies
16K Views
Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu
2 Reactions
10 Replies
1K Views
habari wana jf mm nu kijana wa kiume kutoka pande za arusha ...Ninahitaji rafiki wa kike kuanzia miaka 19-27 ...you are welcome
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Kwanza kabisa shukarani ziwafikie wote wana JF, Nahitaji mchumba ambaye atakuwa mke miaka 2-3 ijayo. Sifa zangu >Umri 22 miaka >Rangi Mweusi >Kabila mkurya >Elimu utaijua PM >Usafi ulinishinda kwa...
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Back
Top Bottom