Nahitaji mwanamke muislam wa kumuoa

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Nina umri wa miaka 27, nipo dar, nina elimu ya chuo ngazi ya bachelor, natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo,

awe muislam

awe muaminifu

awe na umri wa miaka 18-27

awe anaishi dar

awe na elimu kuanzia kidato cha nne

Kwa aliyekua serious anitafute 0758 106 501
 
hili tangazo hamkuliona wazee?

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
aaah
hii watu walisha ruka kwenye sim
ukute hata pilau jamaa washakula

ilikuwa ni direct
 
Kila la kheri

To accomplish much you must first lose everything..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom