Sina Mwanamke yeyote wa kunitoa upweke....,,simaanishi kwamba siwezi pata huku nilipo no.tatizo ubize tu wa hapa na pale ndo unanifanya nafasi hiyo niikose,,,,Aliyetayari naomba...
Nahitaji msichana mrefu rangi yeyote na kabila lolote anayejitambua ambaye atakuwa mke wangu kama ataridhika na mimi, umri usizidi miaka 27, awe amesoma hata kama ameishia kidato cha 6 na...
Hello ......Mambo zenu umu
Mwanaume mtanashati,mrefu kama mm mcha Mungu wa bata kiasi sio sana .
Sio lazima awe na gari ila awe mwanaume modern kiasi..
Mchapakazi popote Tanzania sio lazima dar...
Habari zenu humu!
Msichana umri miaka 28-35 anahitajika kwa ajili ya ndoa. Awe mkristo, elimu ya chini kuanzia kidato cha sita, awe msichana mzuri kitabia na muonekano. Ambaye yupo tayari kuolewa...
Habari za mihangaiko wananzengo wa jamii forum hasa kwenye jukwaa la "Love connect".
Mimi nimekuwa mdau na msomaji wa maada tofauti tofauti kwa mda mrefu sasa tangu naifahamu jamii forum mwaka...
Mimi ni kijana miaka 25
nahitaji mwanamke tuwe kwenye unyumba baadaye, sasa iwe ni kuishi urafiki tu.
Nina project nafanya ningependa anijoin kama yuko na muda au hana lakufanya kwa sasa, au kama...
Mimi Ni mtanzania , umri wangu ni miaka 31 najitokeza kwenu kutafuta mke kwa aliyetayari tuwasiliane , Mimi Ni mtumishi , sichagui dini kabila ,rangi ila umri wake usizidi miaka 27.aliye serious...
Heri ya mwaka mpya nyote humu.
Baada ya kuwa single takribani mwaka mzima 2018, katika kuingia mwaka 2019, sitaki kuwa single tena hivyo nimeona ni heri nitafute mchumba ambaye baadae atakuwa...
Habari za saa hizi.
Kwanza kabisa nikiri kuwa nishawahi kuja humu kutafuta kimwana ila ndo hivo mambo hayakuwa sawa. Kwanza kabisa nikiri kuwa nilipata kimwana ila hakuwa serious kabisaaa...
Habari za majukumu ndugu.
Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke
Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU.
Sifa za mwanamke
Elimu Darasa la saba mpaka form 4...
Sifa zangu
Miaka 29
Mwajiriwa na nimejiajiri pia
Ni mweupe rangi
Mrefu wa kati
Nipo kanda ya ziwa
Awe na sifa
Miaka 20-30
Mwenye kazi au asiwe na kazi Sawa
Kimo chochote
Rangi yoyote
Awe mwelewa...
Hii ni thread yangu maalum kwa Ajili ya hili kwasababu id yangu common itafanya watu waseme “Hata wewe”?
Lengo la thread hii ni kutaka kukutana na mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe muelewa...
Natafuta msichana Age 23-26 ambaye nitaweza kua nae katika mahusiano na badae ndoa niko dodoma akiwa maeneo hayo ni vizuri zaidi njoo PM tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mwanza, nilikutana na demu toka moshi, kama kawaida mtoto wa mjini nilimtokea akatiki nikiwa na lengo LA kubomoa na kuacha, kumbe mtoto kaelewa mikito kaning'ang'ania humwambii kitu kuhusu...
Hiyo ni kauli yangu kwenda kwa binti fulani ambaye by the time alinikataa na kuniona si kitu.
Leo hii baada ya miaka mitano anakuja tena kwa speed ya rocket," eti Uno mi nakupenda for really"...
Nipo Mwanza nimejiajiri, natafuta
msichana tupunguziane ukali wa maisha umri miaka 18-24 Dini yeoyote awa anajishughulisha na chochote kitakachotuwezesha tuwe tunasaidiana katika maisha.
Mimi ni...
Kumradhi!!!!!
Siku zote huwa natamani kuwa na mwanamke/Msichana mwenye elimu ya juu Degree/PHD au msichana wa kishua,mwanamke mwenye pesa kama zote kama Mrembo wa Ben Pol.
The dreams comes true.
Naomba nikiri kwamba mi ni kijana wa miaka 29,sijaoa nahitaji mwanamke mwenye kuhitaji kuolewa,kama atakuwa muislamu itafaa zaid,sichagui kabila,umri niutakao asizid miaka 35,huduma zote za msing...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 natafuta mpenzi alie siliasi katika mahusiano ili baadae tukijilizisha wote wawili tufunge ndoa nipo atakae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.