Katiba mpya ambayo ni tegemeo la watanzania lazima ilenge kuwalinda watanzania wote sio wachache walio katika tabaka tawala. Kivipi
1. Wakulima kupewa kipaumbele na kuwapa uhuru wa kuamua bei za...
Wadau.
Napendekeza kwenye katiba mpya isiruhusu watoto wa Viongozi wastaafu hususani mawazori na rais waruhusiwe kugombea kikatiba ili kuepuka ukiritimba wa kuridhishana nyadhifa serikalini Kama...
WATANZANIA TUTOE MAONI YETU KUHUSU KATIBA MPYA KATIKA SEHEMU HIZI:
1. Unaweza kutembelea tovuti ya tume ya katiba na ukatoa maoni yako. Tembelea Tume ya Mabadiliko ya Katiba na utoe maoni yako.
2...
NANUSA HARUFU YA GEORGE ORWELL MCHAKATO WA KATIBA
Written by Stonetown (Kiongozi) // 19/01/2013
Riwaya ya Shamba la wanyama (1945), ni moja kati ya kazi nzuri kabisa za kibunifu...
wadau jf amani iwe juu yenu. kufuatana na ratiba ya CRC sasa ni zamu ya makundi,asasi,vyama vya siasa,marais wastaafu,ofisi mbalimbali za serikali nk.
tumesikia maoni yao mbalimbali ambayo...
Naomba msaada, sijauelewa vizuri mchakato wa katiba. Baada ya MAONI, hiyo tume itaandika katiba au maaoni yanapelekwa kwa Raisi ndio inaandikwa au Bunge linamalizia.
Na kama ni tume itaandika...
1. Rais apunguziwe madaraka
2.mawaziri wote wasiwe wanasiasa
3.wakuu wa mikoa na wilaya wawe wenyeji wa eneo husiku na wasiteuliwe bali wachaguliwe na wasiwe wanasiasa
4....tuendelee
5.
MIHIMILI miwili ya Dola; Bunge na Mahakama, jana ilitoa maoni yake kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, huku Spika wa Bunge, Anne Makinda akitaka kuwe na mabunge mawili na kupendekeza kuwa Spika...
Paka ukimpa samaki, hata mkavu, humla kuanzia kichwani. Jaribu uone anytime.
Jaji Waryoba anaongoza Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Ukubwa wa tatizo la Mungano wa Tanganyika na Zanzibar na ukubwa...
Tanzania tupo katika nchi za Africa mashariki na tupo kwenye ushindani wa kibiashara, kiuchumi na kijamii katika nchi hizi. Wenzetu, Kenya na Uganda wameweka milango wazi kwa watu wa Diaspora. Kwa...
Je ni wangapi humu JF wameshatoa maoni yao ya katiba mpya?Kwenda kwa tume moja kwa moja,njia ya mkusanyiko wa hadhara,kwa maandishi n.k.Nyoosha mkono useme mimi ni tayari,usiseme uongo.Kama bado...
Nimekuwa najiuliza, kama nchi yetu kwa miaka yote inajinasibu kuwa haina dini, ni kwa vipi viongozi wetu hasa mawaziri na hata mahakamani wahusika wanaapa wameshika Biblia(wakristo) na...
Nimepata habari kwamba Wajumbe wa Tume ya katiba wako ktk mvutano wa chini kwa chini kuhusu hoja ya mahakama ya kadhi. Kuna wajumbe wanataka Mahakama ya kadhi iwepo, wakati wajumbe wengine...
Nimetafakari sana hili bila kuwa na jibu;
Hivi ni kwanini tunazuiwa kutoa maoni ya kuhusu katiba mpya bila kutaja UMRI, MAJINA KAMILI NA JINSIA???
Kwanini UMRI? kwanini MAJINA KAMILI? kwanini...
Nimefatilia mijada ya katiba mpya, kila nikiangalia watetezi wa wananchi kuna mambo bado yanasahaulika katika kumkomboa mwananchi kutoka katika umasikini.
Suala la rasilimali.
Nilitegemea kuona...
Nimepitia sheria ya mabadiliko ya katiba kuona haya mabaraza yanaanzishwa chini ya kifungu gani cha sheria nimeshindwa kupata. Nimejaribu pia, kutafuta mabaraza haya yakakuwa composed na watu...
watu wengi wamekuwa wakitoa maoni yao nchi nzima lakini watambue kuwa sio kila wanachokisema na kukipendekeza kitakuwepo kwenye katiba ijayo...na yatachambuliwa baadhi tuu...
hivo basi ni nini...