wadau jf amani iwe juu yenu. kufuatana na ratiba ya CRC sasa ni zamu ya makundi,asasi,vyama vya siasa,marais wastaafu,ofisi mbalimbali za serikali nk.
tumesikia maoni yao mbalimbali ambayo...
Naomba msaada, sijauelewa vizuri mchakato wa katiba. Baada ya MAONI, hiyo tume itaandika katiba au maaoni yanapelekwa kwa Raisi ndio inaandikwa au Bunge linamalizia.
Na kama ni tume itaandika...
1. Rais apunguziwe madaraka
2.mawaziri wote wasiwe wanasiasa
3.wakuu wa mikoa na wilaya wawe wenyeji wa eneo husiku na wasiteuliwe bali wachaguliwe na wasiwe wanasiasa
4....tuendelee
5.
MIHIMILI miwili ya Dola; Bunge na Mahakama, jana ilitoa maoni yake kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, huku Spika wa Bunge, Anne Makinda akitaka kuwe na mabunge mawili na kupendekeza kuwa Spika...
Paka ukimpa samaki, hata mkavu, humla kuanzia kichwani. Jaribu uone anytime.
Jaji Waryoba anaongoza Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Ukubwa wa tatizo la Mungano wa Tanganyika na Zanzibar na ukubwa...
Tanzania tupo katika nchi za Africa mashariki na tupo kwenye ushindani wa kibiashara, kiuchumi na kijamii katika nchi hizi. Wenzetu, Kenya na Uganda wameweka milango wazi kwa watu wa Diaspora. Kwa...
Je ni wangapi humu JF wameshatoa maoni yao ya katiba mpya?Kwenda kwa tume moja kwa moja,njia ya mkusanyiko wa hadhara,kwa maandishi n.k.Nyoosha mkono useme mimi ni tayari,usiseme uongo.Kama bado...
Nimekuwa najiuliza, kama nchi yetu kwa miaka yote inajinasibu kuwa haina dini, ni kwa vipi viongozi wetu hasa mawaziri na hata mahakamani wahusika wanaapa wameshika Biblia(wakristo) na...
Nimepata habari kwamba Wajumbe wa Tume ya katiba wako ktk mvutano wa chini kwa chini kuhusu hoja ya mahakama ya kadhi. Kuna wajumbe wanataka Mahakama ya kadhi iwepo, wakati wajumbe wengine...
Nimetafakari sana hili bila kuwa na jibu;
Hivi ni kwanini tunazuiwa kutoa maoni ya kuhusu katiba mpya bila kutaja UMRI, MAJINA KAMILI NA JINSIA???
Kwanini UMRI? kwanini MAJINA KAMILI? kwanini...
Nimefatilia mijada ya katiba mpya, kila nikiangalia watetezi wa wananchi kuna mambo bado yanasahaulika katika kumkomboa mwananchi kutoka katika umasikini.
Suala la rasilimali.
Nilitegemea kuona...
Nimepitia sheria ya mabadiliko ya katiba kuona haya mabaraza yanaanzishwa chini ya kifungu gani cha sheria nimeshindwa kupata. Nimejaribu pia, kutafuta mabaraza haya yakakuwa composed na watu...
watu wengi wamekuwa wakitoa maoni yao nchi nzima lakini watambue kuwa sio kila wanachokisema na kukipendekeza kitakuwepo kwenye katiba ijayo...na yatachambuliwa baadhi tuu...
hivo basi ni nini...
TAASISI ya Jumuiya ya Waislamu na Taasisi za Kiislam, zimetaka Katiba mpya itamke kuwepo na chombo cha kisheria kitakachosimamia na kuwa na mamlaka ya kusikiliza masuala ya Kiislamu. Maoni hayo...
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba (kulia) wakiongozwa na Dkt. Salim Ahmed Salim wapokea maoni kuhusu Katiba Mpya kutoka kwa uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
DEMOKRASIA NA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA
MAONI KUHUSU KATIBA MPYA
Kutoka kwa: M.M. Mulokozi [Januari 2013]
Profesa Mstaafu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, S.L.P. 35110, Dar es...
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Awadh Ali Said (kulia) akiongea na Ujumbe wa Baraza la Hindu Tanzania kabla ya Baraza hilo kuwasilisha maoni kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa...
MAKUNDI maalumu jana yaliendelea kutoa maoni yao kwenye mchakato wa Katiba Mpya, huku DP kikipendekeza Rais aapishwe baada ya siku 90 tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu.
Mbali na maoni hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.