KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

habari wapendwa? mimi ni kati ya watu ambao kimsingi nachukizwa sana na watu wachache ambao wanatumia maliasili kua sehemu za kujinufaisha wao na familia zao lakini wanasahau yakua watanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kulingana na matokeo ya utafiti uliofanywa na REPOA imeonekana kuwa 84 % ya watanzania wanahitaji katiba mpya. Ikumbukwe kuwa mojawapo ya ahadi za chadema kwa wananchi katika uchaguzi wa 2010...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKITA) limesema kuwa katika muongozo wa Tume juu ya muundo na utaratibu wa kupata wajumbe wa mabaraza ya Katiba ya Wilaya na Asasi unamapungufu katika baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKAZI wa Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, Phillipo Tango (25), amependekeza Katiba Mpya itoe haki na usawa katika suala la ndoa kwa wanawake kuruhusiwa kuchumbia, kutoa mahari na kuoa wanaume...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI Na Mussa Juma, Arusha Posted Alhamisi,Februari7 2013 saa 20:24 PM KWA UFUPI Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF), Hamad Rashid, alitoa wito huo jana mjini hapa, wakati akizungumza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuapishwa Rais iwe siku 90 ​Ubunge wa upendeleo wa wanawake ni kustarehesha jinsia MAKUNDI maalumu jana yaliendelea kutoa maoni yao kwenye mchakato wa Katiba Mpya, huku DP...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF, Tukiangalia mambo yanavyokwenda unaweza kuona kuwa kama katiba haitaweka utaratibu maalum wa kuteuliwa watoto wa vigogo kuwa Mawaziri pamoja na nyadhifa nyingine muhimu kitaifa tunaweza...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
tumekuwa tukiona jinsi ,wabunge wetu wanavyojaribu kuwawajibisha mawaziri wetu wanaosema uongo katika bunge,na hii imesaidia sana kuleta uwajibikaji kwa kiasi fulani ingawa tumekuwa tukiona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu mchakato wa kutoa maoni ya KATIBA uanze, baadhi ya watanzania kwa kupitia Radio fulani pia makongamano mbalimbali ya katiba wanapenda sasa nchi iwe na siku tatu za kupumzika hili pia waislam...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa kipindi kifupi nimeshikwa na wasiwasi na mwenendo wa Tume marekebisho ya Katiba iliyo chini ya Jaji na Waziri Mkuu mstaafu Waryoba. Kitendo cha kutoa na kuchukua muda mwingi kukusanya mawazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna kijana mmoja aliwahi kuishi katika nchi hii, na huyu kijana alikuwa anaitwa Edward Moringe Sokoine. Kijana huyu alikuwa anatoka kabila laWamasai. Sokoine aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hii...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
JUMAMOSI, JANUARI 12, 2013 09:04 GABRIEL MUSHI NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM *Mahakama ya Kadhi, OIC, Vatican zaibua mjadala *Washia wao wataka umri wa kupiga kura miaka 16 TUME ya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Hii Radio huwa natafakari imeanzishwa kukashifu dini zingine au lengo lake hasa ni nini?? Leo Asubuhi nimesikia wakizungumzia mchakato wa katiba mpya. Jambo ambalo wamelipa kipaumbele katika...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
I have been following political, social & Economic situation in Tanzania for some time now, It is sad that the country look like is at the point of no return and there is clear lack of leadership...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni kweli tanzania haihitaji katiba mpya, bali quran ndiyo inayotakiwa itoe hukumu kwa wananchi wa tanzania??? Angalia picha na usome ujumbe ulioko kwenye hilo vazi la mtu huyo ninayeamini ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by abdisalum // 25/01/2013 // Habari // 15 Comments...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitendo cha mwenyekiti wa Tume ya kuratibu maoni ya katiba joseph warioba kuwapiga marufuku waandishi wa habari na vikundi mbalimbali vya kijamii kuchukua details kuhusu maoni ya wananchi na pia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hapa nilikuwa napendekeza kuwa Rais asiwe mkuu ktk chama chake awe chn ya chama hii itamrahsishia mwenyekt kumbana Rais kutekeleza ilani za chama......Ni hayo tu wana JF
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Association of Tanzania Employers (ATE) has proposed that Ministers should be barred from being Members of Parliament and that the cabinet is to be made of, in their words ‘experts only’. The...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katiba itambue kuwepo kwa Mungu – UKUEMPosted on January 22, 2013 Amir wa Umoja wa Kiislamu wa Elimu, Uchumi na Maendeleo, Sheikh Talib Juma Ali akikabidhi Balozi Seif Ali Idd msaada wa Umoja huo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom