Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Alex Bitekeye and Florence Mugarula 30 May 2011 Dar es Salaam - The parliamentary Energy and Minerals Committee yesterday directed the Tanzania Mines, Energy, Construction and Allied Workers...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%. Mwaka 2010 nilipoenda pale...
5 Reactions
13 Replies
235 Views
Bwege ameendelea kuyasema mengi zaidi, ambapo leo amesema wakati yupo ACT Wazalendo ameitwa sana mchochozi kwa kusema mambo muhimu. Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA Aidha amesema...
4 Reactions
2 Replies
130 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara "Bwege kupitia ACT Wazalendo ameweka wazi kuondoka kwake kwenye chama hicho na kuhamia CHADEMA akisema viongozi wanashindwa kufuata Katiba na...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
My Take Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania. Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena...
2 Reactions
41 Replies
514 Views
Hivi huyu dada ni nani? Anaishi wapi? Antoa tàrifa nyeti sana anazipata wapi? Anafanya kazi nzuri ya kutetea TANGANYIKA
7 Reactions
12 Replies
490 Views
Hofu ya Watanzania je Ccm mtatupatia Rais mwingine mzuri na mzalendo kama Rais samia ? Kwa sasa Watanzania wanazidi kufurahishwa na kazi njema na ya kizalendo inayofanywa na Rais Samia Suluhu...
-3 Reactions
55 Replies
826 Views
Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti. Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni...
1 Reactions
9 Replies
190 Views
Mara zote tumesisitiza humu na kwingineko kwamba, SHETANI HANA RAFIKI, nadhani sasa watu wameanza kuelewa Wale ulioshirikiana nao kumdhulumu Maalim Seif leo wamekutosa n.a. kukutupa kama pakacha...
13 Reactions
17 Replies
383 Views
Najua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao! Ni vyema mkaenda mahakamani ...
3 Reactions
9 Replies
145 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino wa CUF, Mohamed Ngulangwa amejitojitokeza kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CUF katika uchaguzi wa marudio wa chama hicho ulioamuliwa na Msajili wa vyama...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona...
11 Reactions
18 Replies
581 Views
Dar es Salaam. Makada watatu akiwamo aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Bara, Othman Omar Dunga, wamepitishwa kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa...
5 Reactions
17 Replies
446 Views
Wakati Mahakama ya Kimataifa Uhalifu wa Kibinadamu (ICC) ikitarajiwa kuchagua majaji wapya ifikapo Desemba mwaka huu, Jaji Deo John Nangela amejitokeza kugombea nafasi hiyo. Kuonyesha kuwa Jaji...
2 Reactions
37 Replies
890 Views
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili...
9 Reactions
18 Replies
241 Views
Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025 By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani? Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria...
4 Reactions
1 Replies
207 Views
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa! Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done! Nakuombea huko ulipo tukuone tena. AMINA
32 Reactions
251 Replies
4K Views
Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha. Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
32 Reactions
160 Replies
3K Views
ARUSHA: SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
3 Reactions
31 Replies
669 Views
Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika...
5 Reactions
8 Replies
368 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…