My Take
Unaambiwa asilimia 20% ni kiasi kikubwa kuliko kile Nchi zingine za Afrika wanapata kwenye biashara ya Madini.
https://www.instagram.com/p/DNlY1csIdLl/?igsh=c2ZmMG4yc3I2dHZ4...
Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu...
Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali...
https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu
Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa...
Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili...
Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia
Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia
Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba...
Wanabodi,
Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A)
Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.
PNA ni...
Tofauti ya Mbowe na Yuda ni ndogo sana
Na Saed Kubenea
FREEMAN Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa miaka 21, hawezi tena kuaminika.
Taswira...
Nimekuwa nikiandika sana kuhusu ardhi, viwanja vya makazi vipatikane kwa bei nafuu sana ili kila mtanzania apate haki yake ya kuzaliwa, ya kumliki japo kiwanja kimoja cha kujenga makazi yake na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amerudishwa rumande baada ya kumalizika kwa usikilizwaji wa Shauri la Kikatiba kwa siku ya leo Julai 23, 2026 Shauri Na...
When it's the monkey's day to die, all trees become slippery"
The disgraceful and boisterous spox of #Tanzania unabashedly posted a post alluding to a fake endorsement by DJ Khaled and a Visit...
Viongozi nane Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliosimamishwa uongozi baada ya kutoka hadharani kumtuhumu Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, kwamba anakula fedha za...
Kwanza niwapate pole... waadhiri na watu wote walioko vyoni.
Ni wakati wa wao kusimama na kuiambia serikali kwamba iviache vyuo vifanye kazi yake ya kitaaluma.
Nyinyi kwenu kwamba endelezeni...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe.
Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Mada ya leo ni hoja ya Makamu Rais kuwaomba viongozi wa dini kumuombea Rais Samia. Swali ni hii hoja ya rais kuombewa, je rais...
Profesa Anna Tibaijuka
Waziri wa zamani na mbunge mstaafu, Prof. Anna Tibaijuka, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akisisitiza kuwa wanaodai Mheshimiwa...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo,
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/tumuombee-rais-tuliombee-taifa-5362604
Pia soma Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais...