Wanabodi,
Jana nimebahatika kutazama uendeshaji wa Kikao cha Bunge, mwanzo mwisho, ambapo kikao kiliendeshwa na Mhe. Jeanista Mhagama. Thanks to tuportable twa Star Times, nimetununua tutatu, twa...
Appreciation Post kwa Marekani.
Kusema ukweli Watanganyika tunatawaliwa kwa nguvu na CCM.
Imefika wakati sasa maisha yetu yako mikononi mwa CCM na sio Mungu tena. Wanatuteka, Wanatuua...
Kama ni mfuatiliaji wa bunge utakubaliana nasi. Huyu muheshimiwa ni tatizo kubwa katika nchi hii. Katika watu watatu waharibifu na wahujumu wa bunge letu huru anashika hatamu. Sijui kama cheo na...
Wanajamvi
Tunahaja ya kujuzana CV ya mheshimiwa kwani wizara hii haitaji tu utashi wa kisiasa bali Weledi kama itakuwa imepigwa supergluu nyingi kama ya Mulugo tujue u div 5 unashamiri na kwenye...
Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo katika Halmashauri ya Mji Tunduma, Jana imewaachia huru Watuhumiwa 34 wa uhaini, kutokana vurugu za Oktoba 29, 2025.
Kwa mujibu wa Mwendesha mashitaka wa...
Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe...
Inafikirisha kuona baadhi ya tasisi za serikali kuwa katika wizara ambazo siyo sahihi inakuwaje TEMESA iko wizara ya Ujenzi?
Ina maana mamlaka haizioni, nadhani wizara ya Ujenzi ungekuwa na...
TAARIFA KWA UMMA
MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU UCHAGUZI BATILI WA 29 OKTOBA 2025 NA KILICHOJILI BAADA YA HAPO
1. Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 ni Batili, na Matokeo Yote Lazima Yafutwe
Uchaguzi mzima wa...
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe...
Niliwaambiwa wazee nafanya mchakato wa kupata njia kuikimbia hii nchi na kuweza kufika ufaransa na kuwa mkimbizi wa machafuko aisee huku kumbe Kuna watu weusi kibao ni wakimbizi kutoka Mali...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya;
“Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo na vyombo vya habari Desemba 11, 2025 amesema chama hicho kinaomba Jumuiya za kimataifa kuiweea...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kwamba chama hicho inaweka msimamo wa familia zote zilizopoteza wapendwa wao na raia wote waliopoteza viungo...
Sote tumeona na kushuhudia kwa maneno na matendo yake akiharibu hii nchi kwa kila namna anapopata nafasi, na kila akipata nafasi ya kuongea na tukifikiri atajirekebisha bali amekua ni mtu wa...
John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho...
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa...
Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida.
Ghafla mwezi mmoja...
Mpo Salama!
1. Kuna baadhi ya Kada kama Kada ya afya wanatakiwa kuwa na Leseni.
2. Kuna waomba ajira zaidi ya mmoja walinitumia ujumbe ili niufikishe huku wakiomba Msaada wa serikali katika...