Tukubaliane kuwa Jenista Muhagama ni "tatizo kubwa" katika nchi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,195
103,719

Kama ni mfuatiliaji wa bunge utakubaliana nasi. Huyu muheshimiwa ni tatizo kubwa katika nchi hii. Katika watu watatu waharibifu na wahujumu wa bunge letu huru anashika hatamu. Sijui kama cheo na uwaziri wake majukumu yake ni kukataza watu kutoa michango michungu ama la. Halafu muongo na mpotoshaji mkubwa sana. Yuko radhi kupotosha kanuni za bunge kufurahisha mabos wake
Yeye kuwa tatizo hakukuanza katika awamu hii ameanza kitambo toka enzi za JK.

Anaudhi sana waheshimiwa wabunge wetu wanapokuwa kwenye mtiririko wa kufunguka anakuja kuingilia na miongozo/utaratibu/taarifa. Ajabu sasa hata jambo analololeta halina kichwa wala miguu ilimradi amtoe mbunge kwenye reli.

Wana Peromiho tuondoleeni hili tatizo,ni kubwa
 
Sio siri huyu mama anakiherere sana, akitajwa spika , muongozo, naibu spika muongozo, Raisi ndiyo kabisaaaa ananikera kupita maelezo.

Kama unauchungu na kufuata sharia mbona huwa hasimami anaponangwa mbowe??? Au Lisu??? Huyu mama anisamehe ila ni kichefuchefu sana pale bungeni.
 
Kama ni mfuatiliaji wa bunge utakubaliana nasi. Huyu muheshimiwa ni tatizo kubwa katika nchi hii. Katika watu watatu waharibifu na wahujumu wa bunge letu huru anashika hatamu. Sijui kama cheo na uwaziri wake majukumu yake ni kukataza watu kutoa michango michungu ama la. Halafu muongo na mpotoshaji mkubwa sana. Yuko radhi kupotosha kanuni za bunge kufurahisha mabos wake
Yeye kuwa tatizo hakukuanza katika awamu hii ameanza kitambo toka enzi za JK.

Anaudhi sana waheshimiwa wabunge wetu wanapokuwa kwenye mtiririko wa kufunguka anakuja kuingilia na miongozo/utaratibu/taarifa. Ajabu sasa hata jambo analololeta halina kichwa wala miguu ilimradi amtoe mbunge kwenye reli.

Wana Peromiho tuondoleeni hili tatizo,ni kubwa
Huyo mama sijui huwa anatumia njia gani kupata uteuzi
 
kwanza ni aibu kuwa na mtawala mwenye uwezo mdogo wa kumbukumbu
"Yule Sadam wa Quwait"
"Nilikuta sukari kilo elf tano nikaishusha"
"Hakuna mpinzani atatia mguu kwenye therikali yangu"
"Nitaboresha maslahi ya wafanyakazi, maana ili mfanyakazi afanye kazi vizuri ni lazima alipwe vizuri....Sikuchaguliwa kupandisha mishahara"
 
Kama ni mfuatiliaji wa bunge utakubaliana nasi. Huyu muheshimiwa ni tatizo kubwa katika nchi hii. Katika watu watatu waharibifu na wahujumu wa bunge letu huru anashika hatamu. Sijui kama cheo na uwaziri wake majukumu yake ni kukataza watu kutoa michango michungu ama la. Halafu muongo na mpotoshaji mkubwa sana. Yuko radhi kupotosha kanuni za bunge kufurahisha mabos wake
Yeye kuwa tatizo hakukuanza katika awamu hii ameanza kitambo toka enzi za JK.

Anaudhi sana waheshimiwa wabunge wetu wanapokuwa kwenye mtiririko wa kufunguka anakuja kuingilia na miongozo/utaratibu/taarifa. Ajabu sasa hata jambo analololeta halina kichwa wala miguu ilimradi amtoe mbunge kwenye reli.

Wana Peromiho tuondoleeni hili tatizo,ni kubwa

nimeanza kuelewa kwa nn watu awa Mbeya wanamuita huyu mheshimiwa Rais wao,na pia nimeanza kuelewa kwa nn mkuu wa nchi haendi Mbeya kumbe Mbeya inawezekana wanajitosheleza na mkuu ameliona hilo,
 
hahaha watu wanaogopa kupimwa akili.hahahahaa eti nimepokea taarifa yako mh. bwege.
 
Back
Top Bottom