Rose Masesa ambaye ni Dada wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amewataka watanzania kupuuza taarfa ambazo ameziita za uzushi zinazoenezwa na mwanaharakati Mange Kimambi kuwa dada huyo kuwa...
Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa...
Harakati za ukombozi zina mambo mengi sana.
Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika...
Mwanasheria maarufu, Aloyce Komba ametoa maoni yake kuhusu maswali ya dodoso yaliyofanywa na mawakili wa Serikali wakuu, akiwamo Wakili Nassoro Katuga. Haya ndio maelezo yake:
1. Ilidhalilisha...
Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa...
Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania"...
Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi...
Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa pamoja na masheikh wengine wawili wamekutwa na makosa kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume Maalumu iliyoundwa na Mufti...
Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati...
Mkurugenzi mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanaharakati mkongwe, Dkt. Hellen Kijo-Bisimba, amehoji uhalali wa uchaguzi, akisema alichokiona siku hiyo hakikidhi viwango...
Vijana tujike kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kuachana na siasa za hovyo nchini maana ifikapo 2035 tutakuwa na ombaomba na wetegemizi wengi kwa vijana wengi kutumia na kupoteza muda...
Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni...
Wakuu ! Tukiwa tunasubiri siku ya Ijumaa saa 8:30 mchana, ambapo Mh Tundu Lissu atakuwa anamuongoza DCI Kingai kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu nimeona niwaletee kumbukumbu ya Wakili Kibatala...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya...
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweliiiiiii Ambaye Watu wenye Uwezo Mdogo Aina ya John Heche Hawatakaa Wamsahau Huyu Mwamba .
Mwamba Amemgeuza Geuza Heche utafikiri Samaki...